Jinsi ya kuomba kufuta taarifa
Kwa sasa, ombi la kufuta account au taarifa linaweza kutumwa kupitia support@unidatechs.com kutoka kwenye email inayohusishwa na account. NiKao inaweza kuhitaji kuthibitisha utambulisho kabla ya kutekeleza ombi.
NiKao inatoa njia ya kuomba kufungwa kwa account na kufutwa kwa taarifa zinazohusiana nayo, kulingana na mahitaji ya kisheria, usalama na kumbukumbu zinazopaswa kuhifadhiwa.
Kwa sasa, ombi la kufuta account au taarifa linaweza kutumwa kupitia support@unidatechs.com kutoka kwenye email inayohusishwa na account. NiKao inaweza kuhitaji kuthibitisha utambulisho kabla ya kutekeleza ombi.
Ombi linaweza kujumuisha account profile, business information, campaign drafts, integration records na taarifa nyingine zinazohusishwa na workspace, isipokuwa taarifa ambazo lazima zihifadhiwe kwa sababu za sheria, usalama, fraud prevention au accounting.
Provider integrations zitakapowashwa, user ataweza kuomba NiKao iondoe connection na taarifa za authorization zinazohusiana na provider. Kuondoa connection ndani ya NiKao hakubadilishi account ya user kwenye provider yenyewe.
Kwa maswali kuhusu kufuta account au taarifa, wasiliana na support@unidatechs.com.