Authorization
NiKao haitaki password ya provider account. Provider integrations zitakapopatikana, authorization itafanywa kupitia njia rasmi kama OAuth au authentication method inayotolewa na provider husika.
NiKao inalenga kuunganisha advertising, messaging na technology providers kwa ruhusa ya user na kwa permissions zinazohitajika tu.
NiKao haitaki password ya provider account. Provider integrations zitakapopatikana, authorization itafanywa kupitia njia rasmi kama OAuth au authentication method inayotolewa na provider husika.
NiKao itaomba permissions zinazohitajika kwa feature iliyochaguliwa. Scope na access zinaweza kutofautiana kulingana na provider na feature.
Provider integrations zitakapowashwa, NiKao itatoa njia ya kuondoa connection. Users pia wanaweza kutumia controls za provider husika ku-revoke access moja kwa moja.
Matumizi ya provider integrations pia yanaweza kutawaliwa na terms, privacy policy na developer policies za provider husika.
NiKao inaweza kutumia AI services kusaidia campaign planning, creative generation, analysis na optimization. Taarifa zinazotumwa kwa AI provider zitapunguzwa kulingana na kazi inayohitajika na controls zitajengwa kulingana na matumizi ya feature.